Joshua 12:7-24
7 aHawa ndio wafalme wa nchi ambao Yoshua na Waisraeli waliwashinda upande wa magharibi mwa Yordani, kuanzia Baal-Gadi katika Bonde la Lebanoni hadi kufikia Mlima Halaki, unaoinuka ukielekea Seiri. (Yoshua alitoa nchi zao kwa makabila ya Israeli iwe urithi wao sawasawa na mgawanyiko wa makabila yao:8 ▼
wafalme jumla yao ilikuwa thelathini na mmoja.
24 ▼In order to format the table contained in this verse correctly, it has been necessary to move the content of some adjacent verses into it.
,
cnchi ya vilima, shefela, upande wa magharibi, Araba, materemko ya milima, jangwa, na Negebu; nchi za Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi):| 9 dmfalme wa Yeriko | mmoja |
| mfalme wa Ai (karibu na Betheli) | mmoja |
| 10 emfalme wa Yerusalemu | mmoja |
| mfalme wa Hebroni | mmoja |
| 11 fmfalme wa Yarmuthi | mmoja |
| mfalme wa Lakishi | mmoja |
| 12 gmfalme wa Egloni | mmoja |
| mfalme wa Gezeri | mmoja |
| 13mfalme wa Debiri | mmoja |
| mfalme wa Gederi | mmoja |
| 14 hmfalme wa Horma | mmoja |
| mfalme wa Aradi | mmoja |
| 15 imfalme wa Libna | mmoja |
| mfalme wa Adulamu | mmoja |
| 16 jmfalme wa Makeda | mmoja |
| mfalme wa Betheli | mmoja |
| 17 kmfalme wa Tapua | mmoja |
| mfalme wa Heferi | mmoja |
| 18 lmfalme wa Afeki | mmoja |
| mfalme wa Lasharoni | mmoja |
| 19 mmfalme wa Madoni | mmoja |
| mfalme wa Hazori | mmoja |
| 20 nmfalme wa Shimron-Meroni | mmoja |
| mfalme wa Akishafu | mmoja |
| 21 omfalme wa Taanaki | mmoja |
| mfalme wa Megido | mmoja |
| 22 pmfalme wa Kedeshi | mmoja |
| mfalme wa Yokneamu katika Karmeli | mmoja |
| 23 qmfalme wa Dori (katika Nafoth-Dori) ▼ ▼Au: katika miinuko ya Nafoth-Dori. | mmoja |
| mfalme wa Goimu katika Gilgali | mmoja |
| 24 smfalme wa Tirsa | mmoja |
Copyright information for
SwhNEN