Ezra 2:2
2 ▼
Orodha ya wanaume kati ya watu wa Israeli ilikuwa:
▼In order to format the table contained in this verse correctly, it has been necessary to move the content of some adjacent verses into it.
,
bwakiwa wamefuatana na Zerubabeli, Yeshua, Nehemia, Seraya, Reelaya, Mordekai, Bilshani, Mispari, Bigwai, Rehumu na Baana):Orodha ya wanaume kati ya watu wa Israeli ilikuwa:
| 3 cwazao wa Paroshi | 2,172 |
| 4wazao wa Shefatia | 372 |
| 5 dwazao wa Ara | 775 |
| 6wazao wa Pahath-Moabu (wa jamaa ya Yeshua na Yoabu) | 2,812 |
| 7wazao wa Elamu | 1,254 |
| 8wazao wa Zatu | 945 |
| 9wazao wa Zakai | 760 |
| 10wazao wa Bani | 642 |
| 11wazao wa Bebai | 623 |
| 12wazao wa Azgadi | 1,222 |
| 13 ewazao wa Adonikamu | 666 |
| 14wazao wa Bigwai | 2,056 |
| 15wazao wa Adini | 454 |
| 16wazao wa Ateri (kupitia Hezekia) | 98 |
| 17wazao wa Besai | 323 |
| 18wazao wa Yora | 112 |
| 19wazao wa Hashumu | 223 |
| 20 fwazao wa Gibari | 95 |
Copyright information for
SwhNEN