Ezra 1:9-10
9 ▼
▼In order to format the table contained in this verse correctly, it has been necessary to move the content of some adjacent verses into it.
Hii ilikuwa ndio orodha ya vifaa:| masinia ya dhahabu yalikuwa | 30 |
| masinia ya fedha yalikuwa | 1,000 |
| vyetezo vya fedha vilikuwa | 29 |
| 10mabakuli ya dhahabu yalikuwa | 30 |
| mabakuli ya fedha yanayofanana yalikuwa | 410 |
| vifaa vingine vilikuwa | 1,000. |
Copyright information for
SwhNEN