1 Chronicles 25:8
8 ▼
▼In order to format the table contained in this verse correctly, it has been necessary to move the content of some adjacent verses into it.
,
bVijana kwa wazee, walimu kwa wanafunzi, wote walipanga kazi zao kwa kupiga kura.| 9 cKura ya kwanza, ambayo ilikuwa kwa ajili ya Asafu, ilimwangukia Yosefu, wanawe na jamaa zake, | 12 |
| Ya pili ikamwangukia Gedalia, yeye na wanawe pamoja na jamaa zake, | 12 |
| 10Ya tatu ikamwangukia Zakuri, wanawe na jamaa zake, | 12 |
| 11ya nne ikamwangukia Isri, ▼ ▼Isri jina lingine ni Seri. wanawe na jamaa zake, | 12 |
| 12ya tano ikamwangukia Nethania, wanawe na jamaa zake, | 12 |
| 13ya sita ikamwangukia Bukia, wanawe na jamaa zake, | 12 |
| 14ya saba ikamwangukia Yesarela, ▼ ▼Yesarela jina lingine ni Asarela. wanawe na jamaa zake, | 12 |
| 15ya nane ikamwangukia Yeshaya, wanawe na jamaa zake, | 12 |
| 16ya tisa ikamwangukia Matania, wanawe na jamaa zake, | 12 |
| 17ya kumi ikamwangukia Shimei, wanawe na jamaa zake, | 12 |
| 18ya kumi na moja ikamwangukia Azareli, ▼ ▼Azareli jina lingine ni Uzieli. wanawe na jamaa zake, | 12 |
| 19ya kumi na mbili ikamwangukia Hashabia, wanawe na jamaa zake, | 12 |
| 20ya kumi na tatu ikamwangukia Shubaeli, wanawe na jamaa zake, | 12 |
| 21ya kumi na nne ikamwangukia Matithia, wanawe na jamaa zake, | 12 |
| 22ya kumi na tano ikamwangukia Yeremothi, wanawe na jamaa zake, | 12 |
| 23Ya kumi na sita ikamwangukia Hanania, wanawe na jamaa zake, | 12 |
| 24ya kumi na saba ikamwangukia Yoshbekasha, wanawe na jamaa zake, | 12 |
| 25ya kumi na nane ikamwangukia Hanani, wanawe na jamaa zake, | 12 |
| 26ya kumi na tisa ikamwangukia Malothi, wanawe na jamaa zake, | 12 |
| 27ya ishirini ikamwangukia Eliatha, wanawe na jamaa zake, | 12 |
| 28ya ishirini na moja ikamwangukia Hothiri, wanawe na jamaa zake, | 12 |
| 29ya ishirini na mbili ikamwangukia Gidalti, wanawe na jamaa zake, | 12 |
| 30ya ishirini na tatu ikamwangukia Mahaziothi, wanawe na jamaa zake, | 12 |
| 31 gya ishirini na nne ikamwangukia Romamti-Ezeri, wanawe na jamaa zake, | 12. |
Copyright information for
SwhNEN